Joyce kiria kuhusu maisha ya ndoa

          JOYCE KIRIA AFICHUA NDOA YAKE ya KWANZA KUVUNJIKA, SABABU WANAWAKE WENGI KUACHIKA #LIVE​​​​​: JOYCE KIRIA Asimulia HISTORIA Yake.

        1. Ndoa haondoki na kipigo kinaongezeka na anazidi kulalamika na kuomba ushauri???
        2. Joyce Kiria (alizaliwa Marangu, Mkoa wa Kilimanjaro, mnamo Desemba ) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Wanawake (HAWA) na mtangazaji wa kipindi chake.
        3. Likes, TikTok video from Joyce Kiria (@joycekiriaofficial): “Jifunze kuhusu ndoto za ndoa na malengo ya uhusiano katika video hii.
        4. "Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono?
        5. Joyce Kiria (alizaliwa Marangu, Mkoa wa Kilimanjaro, mnamo Desemba ) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Wanawake (HAWA) na mtangazaji wa kipindi chake..

          Joyce Kiria: Niliamua kuolewa kwa kukosa kodi ya nyumba,TAFAKARI WA KWAKO ANAKUPENDEA NINI?



          Ijumaa: Historia yako inaonesha uliwahi kuwa ‘house girl’, je ulishawahi kukutana na ishu ya kubakwa?
          Joyce: Namshukuru Mungu nilikutana na mitihani mingi lakini sikuwahi kubakwa, ila katika kazi yangu nimekuwa nikikutana na wadada wengi waliofanyiwa hivyo na kuwasaidia.
          Ijumaa: Mume wako amepita kwenye kura za maoni na kuelekea kwenye ubunge, unalizungumziaje hilo?
          Joyce: Nimefurahi sana, namuombea kila la heri avuke katika hatua inayofuata.
          Ijumaa: Hivi ni kwa nini uliachika kwenye ndoa ya mwanzo?
          Joyce: Niliachika kwa sababu sikuwa nimempenda mwanaume niliyekuwa naye bali niliingia kwenye ndoa kwa sababu ya kitu na hili ni fundisho kwa wanawake.
          Ijumaa: Ina maana wewe uliolewa na mwanaume wa kwanza kwa sababu ya pesa zake?
          Joyce: Kiukweli nisiwe mnafiki nakumbuka mwanaume wangu wa kwanza alinioa kwa sababu sikuwa na kodi ya nyumba na sikuwa na pa kuipata, nikaona